Tunawezaje Kukusaidia Leo?
Chagua njia bora ya kupata msaada wa haraka au kutoa maoni yako. Timu yetu ipo tayari kukuhudumia.
Fungua Kesi / Tuma Ujumbe
Jaza fomu hii ili kufungua chati ya msaada WhatsApp yenye taarifa zako sahihi.
Miongozo & Mafunzo
Jinsi ya Kupakia NyimboSoma
Mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kupakia audio, picha (cover art), uthibitisho wa Blue Tick, na monetization.
Njia Nyingine za Mawasiliano
Pigia Simu Support
+255 764 375 173
WhatsApp Channel Yetu
Pata taarifa, updates na miongozo yote
Barua Pepe (Email)
support@barakazetu.com
Anwani ya Kisheria
Mlimani City Office Park, Block A, Barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam, Tanzania
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Frequently Asked Questions
BarakaZetu ni nini?
Ni jukwaa nambari moja la muziki wa kiroho linalowaenganisha waumini kupitia Injili, Qaswida, Mahubiri na Redio Mubashara.
Jinsi ya kupakua nyimbo?
Pakua app yetu ya Android au iOS ili kuweza kuhifadhi nyimbo na kuzisikiliza bila mtandao (Offline Downloads).
Nawezaje kujiunga na kupakia wimbo kama msanii?
Je, naweza kuripoti hakimiliki?
Ndio, nenda kwenye ukurasa wetu wa Kisheria (/legal) na ujaze fomu rasmi ya DMCA Takedown kuripoti ukiukwaji wa hakimiliki.