BarakaZetu - Jukwaa la Muziki wa Kiroho na Nyimbo za Injili
BarakaZetu ni nini? Ni huduma ya kidijitali inayowaleta pamoja waumini kupitia nyimbo za sifa na kuabudu, mahubiri ya kiroho, na mafundisho ya dini. Programu yetu inapatikana kwenye Android, iOS, Windows na Mac.
Nyimbo za Injili mpya
Kaswida za kiislamu
Mahubiri ya Bishop Dr. Gwajima, Steven Ndosi, na wengine
Muziki wa sifa na kuabudu kote barani Afrika
BarakaZetu Studio kwa wasanii wa kiroho
Pakua BarakaZetu sasa uanze safari yako ya kiroho ukiwa na muziki bora unaogusa mioyo.