Pakua App Sasa

Baraka Zote, Mahali Pamoja

Sikiliza na ufurahie nyimbo bora za kwaya na injili kutoka kote Afrika Mashariki, moja kwa moja kwenye simu yako.

Gundua Kilicho Ndani Ya BarakaZetu

Maktaba Kubwa

Pata nyimbo zaidi ya 10,000 za kwaya na injili kutoka Afrika Mashariki na zaidi. Maktaba yetu inakua kila siku na nyimbo mpya.

Sikiliza Popote

Sikiliza nyimbo zako za pendwa popote popote ulipo. Unda playlist na uziweke offline kwa kusikiliza bila mtandao.

Unda Orodha Yako

Unda playlist zako za kibinafsi, weka nyimbo kwenye favorites, na ushiriki na marafiki zako.

Redio za Imani

Furahia redio za imani 24/7 kutoka Afrika Mashariki na zaidi. Sikiliza muziki wa kiroho unaoleta baraka na amani.

Jinsi Ya Kuitumia

Pakua App

Jisajili

Sikiliza na Ufurahie

Jumuiya Yetu

Waimbaji na Kwaya

Weka Nyimbo Zako Kwenye BarakaZetu

Weka Nyimbo Kwa Urahisi

Bila Malipo

Jiunge na Jumuiya Yetu Leo

Usikose fursa ya kufurahia nyimbo bora za kwaya na injili kutoka Afrika Mashariki. Pakua BarakaZetu sasa!